Mapishiyacecy.blogspot.com
Saturday, April 4, 2015
HERI YA PASAKA Kwa wapenzi wa blog hii , Na wapenzi wa video zangu Za mapishi
Saturday, December 28, 2013
Nawatakia woote heri ya christmas na Mwaka Mpya wenye mafanikio teleee
Saturday, December 14, 2013
miaka inakimbia saana,, hii video nilichukua mwaka uliopita, nashukuru mungu wanangu wamekua.. kwa video za mapishi tafadhali angalia post zilizopita . mpya zinakuja soon ,
Monday, October 14, 2013
Karibuni mshikaki matata kabisa. Haha. Nawapendaaaa. MBARIKIWE MPAKA MJISHANGAE
Chipotleeee ,,, siku nyingine inachosha kupika . Basi nikajipatiakitu roho inapenda.nawapendaaaa wote. MBARIKIWE MPAKA MJISHANGAE
Ubuyu kutoka tanzania.. Asante sana mdau kwa ubuyu .. Nawapenda wotee. MBARIKIWE MPAKA MJISHANGAE
Nipo nipo wapenzi
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)