Mapishiyacecy.blogspot.com
Wednesday, March 6, 2013
Kuna wakati nilisema napenda sanaa kuimba. Nilikua sitanii picha hiyo ni ushahidi tosha . Haha . Mambo yakikamilika nitawapa kitu msikilize mama watatu akimwaga mavocal .Lol
Jana niliwatengenezea wanangu cheese stick. Ni taaamu sana ila zinakimbiliaga tumboni. Haha ukila sana ni noma. Nitatuma video ya jinsi ya kuzitengeneza
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)