Monday, June 17, 2013
Nimepotea kidogo mnisamehe
Samahani kwa walewapenzi wa mahanjumati , mnaopitia humu mara kwa mara. Nimekua busy kidogo ', ila nawaahidi wiki ijayo nitaweka video ya mapishi ya chuzi la njegere za nazi , na pia wiki inayofatia nitawaletea pishi la pilau. Kwa hiyo msicheze mbali sanaaa. Nawapenda woote
Subscribe to:
Posts (Atom)

