Sunday, February 17, 2013
Haya hii ni kwa wapenzi wa nywele kama umezipenda na ungependa nikutengeneze kama hizi , wasiliana na mie kwa email hapo juu hii ni kwa wadau wa columbus oh, na jirani. Nitakua natumia picha zangu mwenyewe kwa kumlinda mteja. Usijali sitaweka picha yako humu ukiwa mteja wangu, labda wewe upende mwenyewe. KARIBUNI SANA
BIBLE VERSE OF THE WEEK
PSALM 23:1
THE LORD IS MY SHEPHERD I SHALL NOT WANT(BWANA NDIE MCHUNGAJI WANGU SITAPUNGUKIWA NA KITU)
THE LORD IS MY SHEPHERD I SHALL NOT WANT(BWANA NDIE MCHUNGAJI WANGU SITAPUNGUKIWA NA KITU)
Wednesday, February 13, 2013
Tuesday, February 12, 2013
Monday, February 11, 2013
Happy new year 2013
Habari zenu wapenzi wa blog hii ya mapishi kwanza kabisa napenda kuwatakia heri ya Mwaka mpya ,, kwa wale mnaofuatilia blog hii mtagundua kama kuna mabadiliko kidogo . Jina la blog hii mapishinacecy.blogspot.com sasa limebadilika linaitwa ceciliaalexlyengi.blogspot.com Utapata kujionea sio mapishi peke yake bali vitu vingine ninavyofanya . Kama nywele kwa kina dada, pia Mimi ni muimbaji na muigizaji . Tafadhali endelea kupitia hapa ujionee na ujifunze mengi. Mwaka mpya na mambo mapya. Nawapenda sana wasomaji na watazamaji wangu. Nawatakia mafanikio makubwa Mwaka huu 2013,Na Mungu awabariki zaidi
Subscribe to:
Posts (Atom)





