Monday, June 17, 2013

Nimepotea kidogo mnisamehe

Samahani kwa walewapenzi wa mahanjumati , mnaopitia humu mara kwa mara. Nimekua busy kidogo ', ila nawaahidi wiki ijayo nitaweka  video ya mapishi ya chuzi la  njegere za nazi , na  pia  wiki inayofatia nitawaletea pishi la pilau. Kwa hiyo msicheze mbali sanaaa. Nawapenda woote

Haya haya , wale wapenzi wa maandazi, pitia post zangu zilizopita utakutana na video ya mapishi. Asanteni sana kunitembelea mama watatu


Kwa video ya mapishi ya chapati tafadhali pitia posts zilizopita


Monday, April 8, 2013

Spring is here

Weather inaruhusu kwa raha zenu berbeque zinaruhusiwa Hakuna tena kuvaa nguo 4 haha mbarikiweee

Tuesday, February 12, 2013

Matunda

Jamani hakikisha katika mlo wako matunda hayakosekani ni muhimu sana kwa afya yako na familia yako

Berbecue chicken

Yummy,,, nitawatumia video ya kumtengeneza huyu kuku ,,, alikua mtamuuu balaa

Monday, February 11, 2013

Happy new year 2013

Habari zenu wapenzi  wa blog hii ya  mapishi kwanza kabisa napenda kuwatakia heri ya Mwaka mpya ,, kwa wale mnaofuatilia blog hii mtagundua kama kuna mabadiliko kidogo . Jina la blog hii mapishinacecy.blogspot.com sasa limebadilika linaitwa ceciliaalexlyengi.blogspot.com Utapata kujionea sio mapishi peke yake bali vitu vingine ninavyofanya . Kama nywele kwa kina dada, pia Mimi ni muimbaji na muigizaji . Tafadhali endelea kupitia hapa ujionee na ujifunze mengi. Mwaka mpya na mambo mapya. Nawapenda sana wasomaji na watazamaji wangu. Nawatakia mafanikio makubwa Mwaka huu 2013,Na Mungu awabariki zaidi