Saturday, November 12, 2011

mapishi ya vitumbua

11 comments:

  1. nimekukubali mdala,hapa unatusaidia na tulioko bongo.

    ReplyDelete
  2. DAA TUNASHUKURU UMERUDI,, WE UNAFAA SANA,,, BLOG IDUMUUU, ASANTE KWA VITUMBUA

    ReplyDelete
  3. hicho cha kukaangia vitumbua nitapata wapi hapa columbus?

    ReplyDelete
  4. VILIKUA ONLINE lakini sasa
    vinapatikana Target

    ReplyDelete
  5. jamani mie nipo atlanta yani natafuta iko kikaangio mbonio target nimeenda sijapata kunapengine jamani maana imebidi nipikie zile pan za kuweka kwenye oven ila avijatoka mduala mzuri

    ReplyDelete
  6. Asante sana dada kwa vitumbua murua.

    ReplyDelete
  7. Cecilia Dada Assssssssssssssssante saaaana love. Yani leo ndo nimeona hii site nimefurahije!! Kazi nzuri I wish ungekua na simu hata nikupigie!! Thanks a million. Wale mnaotaka cha kukaangia vitumbua kinaitwa "nordic ware filled pancake/ebleskiver pan" kinapatikana Amazon, Jc Penny macy's. Keep up the good work Cecilia

    ReplyDelete
  8. asante jmn cecy mana wengine tunapenda kula ila kupika hatujui umenisaidia sana.hiyo uliyoweka kipo kwa karatasi ni kitu gani?na kinasaidia nini?

    ReplyDelete
  9. Asante Cecilia, umefanya mambo rahisi kweli siku nyingi natamani vitumbua but didn't know where to begin. Kwa wale wanao taka hiyo cooking tool. Waende amazon.com search vitumbua it will come up kama hicho cha Cecilia. Tufanyie recipe ya sambusa, pilau, mchuzi wa nyama, maharage etc. unajua watu mapishi yanatofautiana...good job.

    ReplyDelete
  10. nimefurahi sana kuona mapishi ya vitumbua nilikuwa natamani siku nyingi kupika ila ndo sijui sasa na mimi nitapika umeniokoa mwenzio

    ReplyDelete