Tuesday, April 17, 2012

Mapishi ya cup cake

9 comments:

  1. hiyo chupandogo ni yanini naona umesahau kusema ninini uliyoweka kabla haujaweka baking powder asante dada yetu.

    ReplyDelete
  2. kabla ya baking powder nimeweka vanilla extract 1 tea spoon, . asanteni kwa kunitembelea, na nitajaribu kujibu maswali yenu kila nikipata muda

    ReplyDelete
  3. Thanks dear....naomba uongeze umakini kwenye kutaja ingredients ili tuzipate vema. otherwise kazi nzuri sana

    ReplyDelete
  4. Keep iit up mama. SI unajua mwanamke jiko. Wengine hatuna maujuzi lakini ukiturushia clips kama hizi, unatusaidia ku change milo home. Ubarikiwe dear

    ReplyDelete
  5. Your videos are helping me learn swahili.
    Asante sana.

    ReplyDelete
  6. DUUU ASANTE SANA MI NDIYO MARA YANGU YA KWANZA KUINGIA HUMU NIMEPENDA SANA UNAVYOELEZEA VIZURI KEEP IT UP

    ReplyDelete