Monday, October 14, 2013

Kitu cha mihogo ya kukaanga, viazi (french fries) ,kakuku ka kukaanga,, bila kusahau kachumbali na kandimu..


1 comment:

  1. Cecy, tunaomba utuwekee mapishi mengine naona umetusahau . Tunakupenda wewe nafamilia yako.

    ReplyDelete