Sunday, May 1, 2011

karibuni sana waungwana

karibuni mfurahie na kujifunza mapishi ya kinyumbani yatakayoletwa kwenu kwa lugha ya kinyumbani na mie mpishi wenu cecy aka (mama wawili)

7 comments:

  1. This is great.I will try this recipe for my family on Sunday. Keep more coming please

    ReplyDelete
  2. I like ths thanks ..pls vitumbua vitumbua.....bring it on ..I sure do appreciate.

    ReplyDelete
  3. Asante sana mama2, kazi nzuri,kama hutojali nitakurusha kwa blog yangu kwenye kipengele cha "JIKONI LEO".

    ReplyDelete
  4. dada hongera kwa kutu elimisha kwanza.tuna kiu tuna omba video tu nyingi kutoka kwako mama2.

    ReplyDelete
  5. mashalwaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!dada unajua kweli kweli

    ReplyDelete
  6. Special request mama Cecilia:
    1.Sambusa
    2. Kalimati
    3. Mandazi
    4. Katres - not sure of the spelling
    5. Pilau
    6. Mchuzi wa karanga
    7. Mchuzi wa samaki
    Unajua tema mapishi yote yote ya kiswahili

    ReplyDelete
  7. nataka utuwekee mapishi ya supu ya kuku na makongoro.

    ReplyDelete