Thanks for your time and for sharing your knowledge, its really helfpul. Hopefully tutaendelea kujifunza zaidi na zaidi. Mungu akubariki pamoja na familia yako. Nipo Columbus, pia. Asante.
Mama wawili Big up my young sis. Yaani you are among the role model! Huku Morogoro Ndizi za kumwaga sio ngumu kama zile za Oriental supermaket au za walmart namaanisha Plantae, LOL!
Nimeangalia clip moja sasa hivi Michuzi Blog kuna mdada anaongelea mavazi anaitwa Justina George; mmefanana saaana nilidhani ni wewe lakini naona unasema unaitwa Cecilia. Je ni ndugu yako. You are all very beutiful. Mpenzi wa blogu yako (mama wawili pia -ingawa wawili wangu si mapacha)
Hongera sana kwa mapishi yako...na pia kutufundisha kupika vyakula vya kinyumbani....ndizi pamoja na vitumbua...nimeangalia...very helpful..kwa mfano mimi nipo korea...mapishi ya tanzania huwa siyapiki mara kwa mara...tena nimesahau...kwa hiyo umetusaidia sana na blog yako...asante sana...mama wawili...god bless..♥!
good job,thanks
ReplyDeleteGood job! ila Nazi za kopo zina calories nyingi sana. Can we substitute coconut milk with something else?
ReplyDeleteHiyo Jamaican curry umeinunua wapi, Nipo Columbus
ReplyDeletethank you,unaweza usiweke nazi ya kopo , weka curry peke yake na itakua na ladha nzuri tuu
ReplyDelete@mdau wa columbus ,,jamaican curry inapatikana maduka ya wachina ya vyakula, pia niliwahi kuiona duka la kiafrica (kiwest) morse road
ReplyDeleteShukran kwa Jamaican curry tip. Nimeenda Asian Market pale Cleveland Avenue na nimeipata. It's only 43.46. Hivi curry ndio binzari?
ReplyDeletegreat job
ReplyDeletenimependa approach yako..ubarikiwe..ispokuwa jaribu kupunguza background sauti on your next show/clip...
ReplyDeleteAisee kumbe ndizi rahisi kupika..nimejaribu..veri tasty..anasate Mama wawili
ReplyDeleteThanks for your time and for sharing your knowledge, its really helfpul. Hopefully tutaendelea kujifunza zaidi na zaidi. Mungu akubariki pamoja na familia yako.
ReplyDeleteNipo Columbus, pia. Asante.
sasa hapo umenitamanisha na ndizi, inabidi nije kuzionja Columbus, Good Job mama Wawili
ReplyDeletenimefurahi mmejaribu kupika, na pia nimefurahi wengi mmesema zimetoka vizuri,
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteKazi njema mama wawili.Umefanya la maana sana kutujuza humu.wengi wadada wa siku hizi hawajui kupita,milo yao ni M/D.
ReplyDeleteHaa nzuri sana..halafu nimependa approach yako umechangamkaaa hadi rahi. pamoja sana
ReplyDeleteMama wawili Big up my young sis. Yaani you are among the role model! Huku Morogoro Ndizi za kumwaga sio ngumu kama zile za Oriental supermaket au za walmart namaanisha Plantae, LOL!
ReplyDeleteNimeangalia clip moja sasa hivi Michuzi Blog kuna mdada anaongelea mavazi anaitwa Justina George; mmefanana saaana nilidhani ni wewe lakini naona unasema unaitwa Cecilia. Je ni ndugu yako. You are all very beutiful. Mpenzi wa blogu yako (mama wawili pia -ingawa wawili wangu si mapacha)
ReplyDeleteHongera ndugu yangu, upo state gani?
ReplyDeleteHongera sana kwa mapishi yako...na pia kutufundisha kupika vyakula vya kinyumbani....ndizi pamoja na vitumbua...nimeangalia...very helpful..kwa mfano mimi nipo korea...mapishi ya tanzania huwa siyapiki mara kwa mara...tena nimesahau...kwa hiyo umetusaidia sana na blog yako...asante sana...mama wawili...god bless..♥!
ReplyDelete