Safi cana Ceci, Na mimi ntajaribu nione kama zitatokea laini, maana chapati zangu huwaga laini pale tu zikiwa za moto but zikilala ohoo zimeshakuwa kama jiwe. Good Job mama Alex
I will try it Cecy. Nimejaribu kupika chapati zinatekea ngumu ka jiwe mwenzangu. Ikabidi niache kupika chapati. Lakini nimejua kosa langu lilikua wapi. Nilikua sijui jinsi ya kupima unga.Baada ya kuangalia video yako nimejinza. Asante sana Cecy.
Hi, nimefurahi sana kuona mapishi yako. I like your approach na pia presentation. I will suggest utumie vipimo mfano unaposema one tea spoon inabidi labda kweli na we uwe na tea spoon ili iwe more real. good luck you will be our African Rachel Ray I am in Houston-TX
Kweli nimeona pale aliposema maji kikombe kimoja; hakumimina chote alikuwa anakadiria. Ila kwa kuwa ni video clip unaeleweka hata bila ya vipimo kamili. Be blessed kwa kutupa shule ya bure
Nimefundishwa chapati na watu 10 kidogo never got it right. Until i watched your video. Nikajaribu steps zako zikatoka laini hata mie mwenyewe sikuamini, kumbe siri ni hot oil, na temperature ya maji. Mungu akubariki Cecilia. I was about to spend $339.99 on kitchenaid mixer thinking my issue was in kneading the dough kumbe wala.
well napenda nikushukuru kwa kutumia mda wako kushare na sisi mapishi..napenda kupika chapati ila zinanipa tabu kwani napika masaa mengi sana...yaani naanza kupika kwanzia asubuhi mume wngu akienda kazini hata akirudi bdo napika...kwa hii trick yako nimejifunza kupika chapati nzuri na yenye urahisi asante sana...by the way me ni fan wako kutoka belgium
safiiiiiiiiii................
ReplyDeleteGood job Cecy. Mie nilizoea kula chapati za msomali ngumu kama nini. Au zile frozen palata huwa nanunua na kuzikaanga.
ReplyDeleteShukran kwa kutupa somo kwenye maeneo haya ya maakuli. Anyway, nimeshaanza kutumia ile Jamaican Curry na chakula ni kitabu kweli.
Safi cana Ceci, Na mimi ntajaribu nione kama zitatokea laini, maana chapati zangu huwaga laini pale tu zikiwa za moto but zikilala ohoo zimeshakuwa kama jiwe. Good Job mama Alex
ReplyDeleteI will try it Cecy. Nimejaribu kupika chapati zinatekea ngumu ka jiwe mwenzangu. Ikabidi niache kupika chapati. Lakini nimejua kosa langu lilikua wapi. Nilikua sijui jinsi ya kupima unga.Baada ya kuangalia video yako nimejinza. Asante sana Cecy.
ReplyDeleteasanteni sana jamani , nafurahia mmejifunza kupitia mapishi haya,,, nawapenda
ReplyDeleteMrs chagama kumbe huko marekani mna enjoy maakuli kama huku bongo tuu, presentation nzuri mmmh
ReplyDeleteMama wawili, asante sana kwa mapishi haya ya chapati. Ndio nimemaliza kupika zimetoka lainiiii kama zile ulizokua unaniletea. Good Job mamii!
ReplyDeletemmmh yummy...chapati za uhakika...wengine tunajifunza hapa hapa
ReplyDeleteMama Jasmine...
Hi, nimefurahi sana kuona mapishi yako. I like your approach na pia presentation. I will suggest utumie vipimo mfano unaposema one tea spoon inabidi labda kweli na we uwe na tea spoon ili iwe more real.
ReplyDeletegood luck you will be our African Rachel Ray
I am in Houston-TX
Kweli nimeona pale aliposema maji kikombe kimoja; hakumimina chote alikuwa anakadiria. Ila kwa kuwa ni video clip unaeleweka hata bila ya vipimo kamili. Be blessed kwa kutupa shule ya bure
ReplyDeleteNimefundishwa chapati na watu 10 kidogo never got it right. Until i watched your video. Nikajaribu steps zako zikatoka laini hata mie mwenyewe sikuamini, kumbe siri ni hot oil, na temperature ya maji. Mungu akubariki Cecilia. I was about to spend $339.99 on kitchenaid mixer thinking my issue was in kneading the dough kumbe wala.
ReplyDeletewell napenda nikushukuru kwa kutumia mda wako kushare na sisi mapishi..napenda kupika chapati ila zinanipa tabu kwani napika masaa mengi sana...yaani naanza kupika kwanzia asubuhi mume wngu akienda kazini hata akirudi bdo napika...kwa hii trick yako nimejifunza kupika chapati nzuri na yenye urahisi asante sana...by the way me ni fan wako kutoka belgium
ReplyDeletenimejifunza kitu, mi nlikua kila nikipika chapoo zinakua ngumuuu..thnx ubarikiwe sana mamaa!
ReplyDeletehi ceci, im glad for wat u re doing to the reste of the world this is a big donation , big up
ReplyDeletebig up
ReplyDelete