Monday, May 2, 2011

mapishi ya ndizi za nyama

19 comments:

  1. good job,thanks

    ReplyDelete
  2. Good job! ila Nazi za kopo zina calories nyingi sana. Can we substitute coconut milk with something else?

    ReplyDelete
  3. Hiyo Jamaican curry umeinunua wapi, Nipo Columbus

    ReplyDelete
  4. thank you,unaweza usiweke nazi ya kopo , weka curry peke yake na itakua na ladha nzuri tuu

    ReplyDelete
  5. @mdau wa columbus ,,jamaican curry inapatikana maduka ya wachina ya vyakula, pia niliwahi kuiona duka la kiafrica (kiwest) morse road

    ReplyDelete
  6. Shukran kwa Jamaican curry tip. Nimeenda Asian Market pale Cleveland Avenue na nimeipata. It's only 43.46. Hivi curry ndio binzari?

    ReplyDelete
  7. nimependa approach yako..ubarikiwe..ispokuwa jaribu kupunguza background sauti on your next show/clip...

    ReplyDelete
  8. Aisee kumbe ndizi rahisi kupika..nimejaribu..veri tasty..anasate Mama wawili

    ReplyDelete
  9. Thanks for your time and for sharing your knowledge, its really helfpul. Hopefully tutaendelea kujifunza zaidi na zaidi. Mungu akubariki pamoja na familia yako.
    Nipo Columbus, pia. Asante.

    ReplyDelete
  10. sasa hapo umenitamanisha na ndizi, inabidi nije kuzionja Columbus, Good Job mama Wawili

    ReplyDelete
  11. nimefurahi mmejaribu kupika, na pia nimefurahi wengi mmesema zimetoka vizuri,

    ReplyDelete
  12. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  13. Kazi njema mama wawili.Umefanya la maana sana kutujuza humu.wengi wadada wa siku hizi hawajui kupita,milo yao ni M/D.

    ReplyDelete
  14. Haa nzuri sana..halafu nimependa approach yako umechangamkaaa hadi rahi. pamoja sana

    ReplyDelete
  15. Mama wawili Big up my young sis. Yaani you are among the role model! Huku Morogoro Ndizi za kumwaga sio ngumu kama zile za Oriental supermaket au za walmart namaanisha Plantae, LOL!

    ReplyDelete
  16. Nimeangalia clip moja sasa hivi Michuzi Blog kuna mdada anaongelea mavazi anaitwa Justina George; mmefanana saaana nilidhani ni wewe lakini naona unasema unaitwa Cecilia. Je ni ndugu yako. You are all very beutiful. Mpenzi wa blogu yako (mama wawili pia -ingawa wawili wangu si mapacha)

    ReplyDelete
  17. Hongera ndugu yangu, upo state gani?

    ReplyDelete
  18. Hongera sana kwa mapishi yako...na pia kutufundisha kupika vyakula vya kinyumbani....ndizi pamoja na vitumbua...nimeangalia...very helpful..kwa mfano mimi nipo korea...mapishi ya tanzania huwa siyapiki mara kwa mara...tena nimesahau...kwa hiyo umetusaidia sana na blog yako...asante sana...mama wawili...god bless..♥!

    ReplyDelete