Monday, February 11, 2013
Happy new year 2013
Habari zenu wapenzi wa blog hii ya mapishi kwanza kabisa napenda kuwatakia heri ya Mwaka mpya ,, kwa wale mnaofuatilia blog hii mtagundua kama kuna mabadiliko kidogo . Jina la blog hii mapishinacecy.blogspot.com sasa limebadilika linaitwa ceciliaalexlyengi.blogspot.com Utapata kujionea sio mapishi peke yake bali vitu vingine ninavyofanya . Kama nywele kwa kina dada, pia Mimi ni muimbaji na muigizaji . Tafadhali endelea kupitia hapa ujionee na ujifunze mengi. Mwaka mpya na mambo mapya. Nawapenda sana wasomaji na watazamaji wangu. Nawatakia mafanikio makubwa Mwaka huu 2013,Na Mungu awabariki zaidi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment