Haya hii ni kwa wapenzi wa nywele kama umezipenda na ungependa
nikutengeneze kama hizi , wasiliana na mie kwa email hapo juu hii ni
kwa wadau wa columbus oh, na jirani. Nitakua natumia picha zangu
mwenyewe kwa kumlinda mteja. Usijali sitaweka picha yako humu ukiwa
mteja wangu, labda wewe upende mwenyewe. KARIBUNI SANA
cecy, hii ni nywele ipi. I need a hookup
ReplyDelete